Msaidizi wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Makazi) Bw. Peleleja H. Masesa, akikabidhi mchele, unga, sukari, sabuni, majani ya chai, pamoja na mbuzi kwa kiongozi wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Msongola Ilala Rehema Masoud, ikiwa ni zawadi ya sikukuu ya Krismas kutoka kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal aliyotowa kwa watoto wanaolelewa katika kituo hicho Msongola nje kidogo ya jiji la Dar es salaam leo jana.
Home
Unlabelled
Dkt. Bilal akabidhi zawadi ya krismas watoto yatima
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Huu ni unafiki au sio namna ya kuwasaidia yatima,viongozi wangetafuta mfumo mwengine wa kuzuia pesa ambazo zinaibiwa kila mwaka na watumishi wa serikali na pia kupunguza matumizi wangeweza kuwajengea makazi ya kudumu na hata kuwaelimisha vizuri,mbuzi watakula siku moja.lakini mabilioni waskubwa wanayojilimbikizia kwa kuibia umma ungewa kuwajengea makazi yenye heshima ya kudumu.
ReplyDelete