Jumuia ya wanafunzi wa kitanzania nchini Korea ya kusini (tzsko) inapenda kutoa salamu za sikukuu za mwisho wa mwaka na kuukaribisha mwaka mpya wa 2012, pichani ni picha ya pamoja yabaadhi ya wana jumuiya ya wanafunzi wa kitanzania nchini Korea ya kusini, waliokutana tarehe 25 December 2011.
Pia katika kikao hicho walitumia fursa hiyo kuwakumbuka Ndugu na jamaa zetu walipoteza maisha katika Mafuriko yaliyotokea hivi karibuni, Tunawaombea marehemu walazwe mahali pema peponi, Amina.
KWA HABARI ZAIDI KUHUSU KOREA YA KUSINI NA JINSI YA KUWEZA KUPATA VYUO NA SCHOLARSHIPS HUKU KOREA ANGALIA MTANDAO WAO, www.tzsko.com
ASANTE Sana
Webmaster
TZSKO(TANZANIA STUDENTS IN KOREA)


Wapi mamaaaa aster! Nakuona mtu wangu. Yaani DON'T!
ReplyDeleteScholarship zote mbona wanapiwa magalantia. Nasisi makomredi tufikirieni!!
ReplyDeleteUmoja wenu udumu tunaona mnajitahidi.nawaona wadau dada Lina, Akinyi,Athumani, Boniface n.k.kitabu chema wapendwa.
ReplyDelete