Home
Unlabelled
filamu ya Mkwawa kuzinduliwa rasmi tarehe 10 disemba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Yes Mkwawa alikuwa shujaa kabisa.
ReplyDeletethat's what i'm talking about, cool stuff, uzinduzi wapi???
ReplyDeleteMbona ktk sikuu ya mashujaa hawamtaji MKWAWA wala hana MANARA wala AIRPORT niaje hapa
ReplyDeletekwanini hamjaweka nyimbo za kiasili kwenye hiyo muvi meweka ma soundtrack ya kizungu?
ReplyDeleteTunaisubiri kwa hamu.
ReplyDeletemkwawa shujaa wa watanganyika siyo tanzania nape na rizu ndiyo shujaa wa tanzania
ReplyDeleteSountrack ya kizungu utajua nani kaifadhili hii movie, bado safari ni ndefu
ReplyDeleteMkwawa...hiki ndio kigezo chema cha Ujasiri wa Mtanzania...sio viongozi wetu wa leo mikono nyuma na kutetemeka mbele ya Mzungu!
ReplyDeleteUshujaa na ujasiri wa Mwafrika umefia wapi?, tumebaki mikono nyuma mbele za Wazungu tujifunze kutoka kwa Chifu Mkwawa!.
ReplyDelete