Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Yes Mkwawa alikuwa shujaa kabisa.

    ReplyDelete
  2. that's what i'm talking about, cool stuff, uzinduzi wapi???

    ReplyDelete
  3. Mbona ktk sikuu ya mashujaa hawamtaji MKWAWA wala hana MANARA wala AIRPORT niaje hapa

    ReplyDelete
  4. kwanini hamjaweka nyimbo za kiasili kwenye hiyo muvi meweka ma soundtrack ya kizungu?

    ReplyDelete
  5. Tunaisubiri kwa hamu.

    ReplyDelete
  6. mkwawa shujaa wa watanganyika siyo tanzania nape na rizu ndiyo shujaa wa tanzania

    ReplyDelete
  7. Sountrack ya kizungu utajua nani kaifadhili hii movie, bado safari ni ndefu

    ReplyDelete
  8. Mkwawa...hiki ndio kigezo chema cha Ujasiri wa Mtanzania...sio viongozi wetu wa leo mikono nyuma na kutetemeka mbele ya Mzungu!

    ReplyDelete
  9. Ushujaa na ujasiri wa Mwafrika umefia wapi?, tumebaki mikono nyuma mbele za Wazungu tujifunze kutoka kwa Chifu Mkwawa!.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...