Gari lililosombwa kutokana na mvua kubwa iliyonyesha siku ya jana likiwa mtoni bara baada ya kutereza wakati likivuka mto huo uliopo katika maeneo ya Kitunda Relini jijini Dar.Anaeonekana kwenye gari hilo ni Dereva wa gari hilo akijaribu kuomba msaada kwa wakazi wa maeneo ya jirani na lilipotokea tukio hilo ambapo baada ya muda lilifika Trekta ambalo lilijitahidi kutoa msaada lakini hali ilikuwa bado ni ngumu hasa kutokana na uwingi wa maji mtoni humo.hakuna aliyeumia wala kupoteza maisha.
Trekta lililofika katika eneo hilo likiwa tayari tayari kutoa msaada wa kulitoa gari hilo kwenye mto huo.
Duh, gari limetumbukia mtoni linahitaji kuokolewa, ni sawa kabisa.
ReplyDeletePia naona kuna makazi nadi ya mto, tuwaokoe au?