Gari lililosombwa kutokana na mvua kubwa iliyonyesha siku ya jana likiwa mtoni bara baada ya kutereza wakati likivuka mto huo uliopo katika maeneo ya Kitunda Relini jijini Dar.Anaeonekana kwenye gari hilo ni Dereva wa gari hilo akijaribu kuomba msaada kwa wakazi wa maeneo ya jirani na lilipotokea tukio hilo ambapo baada ya muda lilifika Trekta ambalo lilijitahidi kutoa msaada lakini hali ilikuwa bado ni ngumu hasa kutokana na uwingi wa maji mtoni humo.hakuna aliyeumia wala kupoteza maisha.
Trekta lililofika katika eneo hilo likiwa tayari tayari kutoa msaada wa kulitoa gari hilo kwenye mto huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Duh, gari limetumbukia mtoni linahitaji kuokolewa, ni sawa kabisa.

    Pia naona kuna makazi nadi ya mto, tuwaokoe au?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...