Keki ya Besdei yenye kuonyesha namba 52 ikiwa ni umri mpya wa Da' Asia Idarous Khamsini.
 Da' Asia Idarous Khamsini akifurahia siku yake hiyo.
 "wimbo wa hepi besdei ukiimbwa."
 Mdau wa Marekani akimlisha keki Da' Asia Idarous Khamsini.

kwa picha zaidi za hafla hii fupi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. GOD BLESS HER....HAPPY BIRTHDAY!! SHE STILL LOOK YOUNG AND CUTE...but anyway age is just a number and life begins at 50..Congratulations Asia!

    ReplyDelete
  2. Happy birthday sister Asia na kila la heri. Shemejiyo.

    ReplyDelete
  3. LIFE BEGINS AT 50? Jipe moyo. Viungo mwilini ukishagonga 50 vinaanza kuchoka. Usoni utaendelea kupeta lakini maini, mapafu na vinginevyo vinaanza kuachilia pole pole. Hapo ni mwendo wa kujiandaa na life after death.

    ReplyDelete
  4. Hppy birthday wifi yangu

    ReplyDelete
  5. Happy Birth day my dearest wifi. Wish you all the best and many more to come. Hadija Tunu Mchujucko, Irving Texas 469-233-8811

    ReplyDelete
  6. hongera sana bi asia, tena ya namna mbili
    1. kwa kutimiza miaka 52, na
    2. kwa kuwa muwazi, maana tumezoea kuona wanawake waliowengi tena wenye majina kama wewe kuongopa umri wao halisi na wala sijui wanapata nini.

    ushauri wangu, rasuli Muhammad (s.a.w)anasema kifo ni kwa mzee kwa mtoto ni mtihani, sasa hii ni ishara kwamba unakaribia uzeeni, kwa hiyo anza kuandaa pepo yako kwa kufanya mema na kuacha mabaya, ni ukumbusho tu kwa mwenye kuamini...

    ReplyDelete
  7. AGE ISN'T NOTHING BUT A NUMBER!!!

    Inshallah may Allah bestow you with pleasant life!

    AMIIIIIIIIIINNNNNNNNN!!!!!!!

    ReplyDelete
  8. hata kama viungo vinachoka,yeeeeeeeeeeeeeeeeees life begins at 50,inahuuuuuuuuuu,wivu tu.

    ReplyDelete
  9. Godbless u.

    ReplyDelete
  10. Hongera Dada Asiah Idarous!,

    Your so great kwa vile huna dalili za kinafiki za kuongopa Umri!

    Nimesha mshuhudia mtu mmoja (Mnafiki) tena anajiita Sheikh na Mwislamu safi halafu anatoa paispoti kwa umri wa Uongo!

    Cha kushangaza pasipoti hiyo ya umri wa uongo ndio anaitumia kila mwaka kuendea Hijja!

    Acheni kutisha watu kwa kifo anakufa mtoto akiwa tumboni kabla ya kuzaliwa, anakufa mtoto ana umri wa dakika chache tokea azaliwe, anaishi mtu zaidi ya miaka 100!, Je huyu kamuhonga Mungu?

    Kufa hupangwa na Mungu!

    ReplyDelete
  11. Mnakataa nini?

    Ni kweli kabisa wala si uongo life begins at 50!

    Kama ulijenga maisha yako kipumbavu maisha yatekuendea kombo uzeeni ndio maana watu wanaita ''FAINALI UZEENI''!

    Sasa kama ulijenga msingi mzuri wa maisha yako ukiwa kijana si ndio unapofikia at 50 life begins?

    In maana unaanza kula maisha yako burudaniiii...!!!!!

    Kama Dada Asiah Idarous she is now at 52 she is getting time to celebrate her hard working now, she is very very happy with her life and can't hesitate or hide to mention her exact age!

    ReplyDelete
  12. Mdogo wangu Asya hongera sana, kumbe tumezaliwa mwaka mmoja ila mimi nimekutangulia kwa mwezi wa January.

    Lakini mwenzangu nakupongeza Maashallah mimi nimechoooka sijui ni maisha ya kijijini na jembe la hapa na pale?

    ReplyDelete
  13. Wakati mwingine, kuzeeka kunategema maumbile na wakati mwingine kunategemea mwenendo binafsi ulio nao!

    ANGALIA HAPA MAKUNDI YA WATU MAWILI:
    1.KUNDI-A
    Watu wanoishi kwa uangalifu sana juu ya mtindo na mwenendo wa maisha, mfano wasiolewa pombe,kuvuta sigara,wanaoishi kwa kujituma, wanaokula kwa mpangilio mzuri,wanaokaa ktk ndoa kwa uadilifu na kama hawana ndo hawaendekezi ngono zembe.

    2.KUNDI-B
    Walevi, watu wa ngono zembe, walafi, Kuwa na mifarakano na migogoro(hii inaangusha kisaikolojia watu huku ikizaa matatizo kama shinikizo la damu na kupooza na matatizo mengine ya kiafya yanatoashiria kuzeeka),wapenda starehe kupita kiasi na wakati mwingine kulala masaa machache.

    YA ZIADA:
    VILE ULIVYO NDIO MWENENDO WAKO:-
    -Ulaji kuacha ,kupunguza au kudhibiti matumizi ya ulaji wa vitu hivi.
    MAFUTA,SUKARI,CHUMVI,KUACHA VYAKULA BANDIA NA KULA VYA SILIA, KUTO CHEMSHA SANA VYAKULA.

    Sasa muonekano wa mtu kwa kutozeeka unategemea sana unavyojiweka kuchagua kuwa KUNDI-A , KUNDI-B na KUZINGATIA YA ZIADA.

    ReplyDelete
  14. Hongera Asia you still look young, beautiful and attractive na ndivyo ulivyo moyo wako au la ungekuwa na roho mbaya sura yako ingeshazeekeka. Mungu akuzidishie akupe maisha marefu na yenye furaha na mafanikio tele.bll

    ReplyDelete
  15. Hehenehenhe nicheke,,,Mdau wa 14 Anonymous wa Dec 27,11:30:00 AM 2011

    Maneno yako ni kweli ,WATU WENYE ROHO MBAYA ,HUWA NA SURA MBAYA NA WANAZEEKA HARAKA!

    Pana Jamaa mmoja muuza Duka la vyakula Kariakoo kona ya Mtaa wa Swahili na Tandamti, JAMAA NI MTU WA MIAKA 50 (SAWA NA UHURU WA TANZANIA), LAKINI KWA KUWA ANA ROHO MBAYA AMEZEEKA NA CHA ZAIDI ANAONEKANA MBAYAAA!!!.ANAONEKANA KAMA ANA MIAKA 85 VILE!

    AMEOTA MVI KICHWANI KOBWA KOBWA, HUKU ANA JIKIPARA WAKATI SIO TAJIRI HANA ELIMU, WALA HAKUSOMA!

    SASA ANGALIA MTU ALIVYO MNAFIKI NA ROHO MBAYA, ANATUMIA MBINU HII:

    ANANYOA KIPARA KUFICHA MVI ZAKE, NA PIA NDEVU ZAKE ANATIA HINA ILI AONEKANE YUPO KTK SUNNA!,,,KUMBE MAGIRINI TU WALA SI MUISLAMU SAFI!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...