Katibu wa zamani wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Shaaban Kilumbe Ng'enda (kulia) akikabidhi baadhi ya vifaa vya kazi kwa Katibu mpya wa CCM wa mkoa huo, Abdilah Mihewa, wakati wa makabidhiano rasmi ya Ofisi leo katika Ofisi ya CCM mkoa wa Dar es Salaam. Kilumbe alivuliwa madaraka na NEC mjini Dodoma mapema mwezi huu.
Home
Unlabelled
KILUMBE NG'ENDA AKABIDHI OFISI JIJINI DAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Sawa amevuliwa Madaraka, ingawa haya mambo ni siri ya ndani lakini tunaweza pata kwa uchache ni kwa mazingira gani?
ReplyDelete1.Alikiuka kanuni za kikazi?
au
2.Hakutimiza malengo ya wajibu wake?