Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Mbona duni zima linamapaja kama mwanamke, kutakuwa salama lakini?

    ReplyDelete
  2. wasichana wa kibongo wazuri lakini wapunguze kuweka manywele ya bandia. khaa

    ReplyDelete
  3. Duh! Kaka!
    Ee bwana naweza kupata kontakti za huyo Demu anayekatika huko bafuni kwenye bafu la vioo aliyevaa VINJENGA vyeusi na ufito mwekundu?

    Dah! Niko tayari kwa DAU lolote tu mtu wangu

    Dah

    ReplyDelete
  4. quality ya 480p ni ya mwaka 2002 nashangaa bado wabongo tunatengeneza quality ya 480p. Adam tunahitaji 720p na 1080 kwa kwenda mbele

    ReplyDelete
  5. bongo bwana, huo mziki wa aina hiyo mtafika wapi nao?? Kimataifa nani atanunua????
    Hakuna ubunifu katika utunzi, nyimbo nyingi za kupuuzi puuzi tu.

    ReplyDelete
  6. many gyalz buh no dance no shake da bootz juzt sho da faces....lol

    ReplyDelete
  7. Duh wakosowaji lazima wawepo sijui mapaja kama demu mtu unakaa na kutype kama hivyo mwenyezi kaumba watu na maumbile tofauti, wacha kukaa na kutamani wanaume wenzako ndugu yangu.

    ReplyDelete
  8. huu mwimbo ni ile type ya unausahau mara tu baada ya kuusikia!

    ReplyDelete
  9. am scared Tanzania inaenda wapi????

    ReplyDelete
  10. huyu bwana anapiga mziki gani maana huu hauna discription, wasanii changueni moja kama unataka piga miziki ya kimarekani jitahidi kufikia ile level ya kimataifa na kama unaona hauwezi kufikia hio level piga miziki ya kibogo tipiko itakusaidia hata kimapato kwasababu trashi kama hii siwezi nunua haivutii kusikiliza wala kucheza club, we c pwa hebu jifunze mziki mzuri maana sina record yeyote ya mziki wako mzuri., please

    ReplyDelete
  11. MI SIELEWI UJUMBE WA WIMBO WENYEWE,ILA NIMEPENDA TU SHOOTING YAKE

    ReplyDelete
  12. Hebu niwaulize wadau wa hapo juu.. Mnaelewa nini na wimbo wa Prakatatumba au Windek???...mkiona hivyo hamjalengwa nyie. Cabo snoop alisemwa sanaaaaa ila angalieni. Mwana Cpwaa nakushauri ufumbe macho na kupuuzia maneno la sivyo...wabongo ndo maana wanaishia hapa hapa tu kuliwa na mapromota. Do you mzee!!!

    ReplyDelete
  13. kweli watu lazima waponde lkn kijana anajaribu kuwaonyesha wasanii wengine wabongo, video nazo zinatakiwa kuwa bora, lkn adam bado unatakiwa kufanya kazi video iko polepole sana na mziki uko faster.ongeza ujuzi cheki video za wanaija bit faster na video faster.

    ReplyDelete
  14. CPWAA, congratulations man you have stepped up the game big time. You are in another level. Keep that creativity mind up! Thats a feel good music and the WHAO video!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...