Home
Unlabelled
Here is the new official video " Hhmm...." - CPwaaa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mbona duni zima linamapaja kama mwanamke, kutakuwa salama lakini?
ReplyDeletewasichana wa kibongo wazuri lakini wapunguze kuweka manywele ya bandia. khaa
ReplyDeleteDuh! Kaka!
ReplyDeleteEe bwana naweza kupata kontakti za huyo Demu anayekatika huko bafuni kwenye bafu la vioo aliyevaa VINJENGA vyeusi na ufito mwekundu?
Dah! Niko tayari kwa DAU lolote tu mtu wangu
Dah
quality ya 480p ni ya mwaka 2002 nashangaa bado wabongo tunatengeneza quality ya 480p. Adam tunahitaji 720p na 1080 kwa kwenda mbele
ReplyDeletebongo bwana, huo mziki wa aina hiyo mtafika wapi nao?? Kimataifa nani atanunua????
ReplyDeleteHakuna ubunifu katika utunzi, nyimbo nyingi za kupuuzi puuzi tu.
many gyalz buh no dance no shake da bootz juzt sho da faces....lol
ReplyDeleteDuh wakosowaji lazima wawepo sijui mapaja kama demu mtu unakaa na kutype kama hivyo mwenyezi kaumba watu na maumbile tofauti, wacha kukaa na kutamani wanaume wenzako ndugu yangu.
ReplyDeletehuu mwimbo ni ile type ya unausahau mara tu baada ya kuusikia!
ReplyDeleteam scared Tanzania inaenda wapi????
ReplyDeletehuyu bwana anapiga mziki gani maana huu hauna discription, wasanii changueni moja kama unataka piga miziki ya kimarekani jitahidi kufikia ile level ya kimataifa na kama unaona hauwezi kufikia hio level piga miziki ya kibogo tipiko itakusaidia hata kimapato kwasababu trashi kama hii siwezi nunua haivutii kusikiliza wala kucheza club, we c pwa hebu jifunze mziki mzuri maana sina record yeyote ya mziki wako mzuri., please
ReplyDeleteMI SIELEWI UJUMBE WA WIMBO WENYEWE,ILA NIMEPENDA TU SHOOTING YAKE
ReplyDeleteHebu niwaulize wadau wa hapo juu.. Mnaelewa nini na wimbo wa Prakatatumba au Windek???...mkiona hivyo hamjalengwa nyie. Cabo snoop alisemwa sanaaaaa ila angalieni. Mwana Cpwaa nakushauri ufumbe macho na kupuuzia maneno la sivyo...wabongo ndo maana wanaishia hapa hapa tu kuliwa na mapromota. Do you mzee!!!
ReplyDeletekweli watu lazima waponde lkn kijana anajaribu kuwaonyesha wasanii wengine wabongo, video nazo zinatakiwa kuwa bora, lkn adam bado unatakiwa kufanya kazi video iko polepole sana na mziki uko faster.ongeza ujuzi cheki video za wanaija bit faster na video faster.
ReplyDeleteCPWAA, congratulations man you have stepped up the game big time. You are in another level. Keep that creativity mind up! Thats a feel good music and the WHAO video!
ReplyDelete