Ndugu Michuzi,
Kwa niaba yangu binafsi na kanisa zima la Umoja hapa Dallas Texas, ninapenda kuwakaribisha Watanzania wote pamoja na wananchi wote kutoka Afrika ya Mashariki katika ibada maalumu ya Taifa letu kutimiza miaka Hamsini tangu tupate Uhuru.Jambo hili muhimu na la kihistoria litanyika kesho saa kumi na mbili jioni katika jengo la kanisa la Umoja hapa Dallas.
Anuani: 6411 LBJ FREEWAY,DALLAS TEXAS,75240
Muda ni Saa Kumi na Mbili jioni mpaka saa mbili Usiku
Mawasiliano: 214 554 7381, 682 552 6402,469 279 1762
Mungu ibariki Tanzania na Watu wake.
Pastor Absalom Nasuwa
Umoja Church-Dallas,Texas
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...