JK akiwapongeza na kuwapa ngao washindi wa shindano la wapishi bora wakati wa sherehe za uzinduzi wa jengo jipya la Chuo cha Taifa cha Utalii mtaa wa Garden Avenue jirani na IFM na Makumbusho ya Taifa na Nyumba ya Utamaduni jijini Dar jumamosi hii
JK akisalimiana na wanafunzi katika Chuo cha Taifa cha Utalii
JK akisalimiana na wanafunzi wa chuo hicho ambao wamefurahi kwa ujio wake
JK akisalimiana na wakufunzi na wanafunzi
Ni furaha ilioje kupata chuo cha utalii cha taifa
Baadhi ya wanafunzi
JK akikata utepe na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa Mh Henri de Raincourt. Kushoto ni Waziri wa Utalii Mh Ezekiel Maige na kulia ni Mtendaji Mkuu wa Chuo hicho Bi Agnes Mziray.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Michuzi,hii inasikitisha sana,pamoja na foleni za mjini bado vyuo kama hivi vinapelekwa city centre.Shule za Minaki na Pugu zilijengwa mbali kabisa ya Ikulu ya Magogoni kwa sababu wazungu hao kwa miaka karibia mia iliyopita walishatambua hilo.Sisi tulioachiwa nchi miaka ya tisini tukajenga shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa karibu na shule ya msingi Uhuru.Inabidi tubadilike mapema.Vipi kama chuo hiki cha utalii kingejengwa Mlandizi au Chalinze?Naomba kuwakilisha
ReplyDeleteUtalii in this sense ni u-chef? Msaada tafadahali. Tuambieni kozi zinazotolewa hapo chuoni, na mtandao wao tafadhali.
ReplyDeletemkuu tuomba kuliona jengo lenyewe, asante sana
ReplyDeleteHivi, how do we define 'tourism' in Tanzania? And how do we distinguish 'rural' from 'urban'? Msaada tafadhali.
ReplyDeleteMdogo wangu michuzi naona hii sasa ina sense kwa kuwa utalii ndio secta inaingizia mapato taifa kwa kiasi kikubwa ni busara kuwa na chuo cha taifa. Je chuo hiki kina toa taaluma za utalii mpaka ngazi gani? kinatofautianaje na cha Sakina Arusha au cha Tandika Dsm n Magoagoni? Pata taarifa za kutosha watoto na wajukuu wetu wanataka kusoma ambako watakuwa na uhakika wa ajira.
ReplyDelete