Mkurugenzi wa Kundi la Jahazi Modern Taarabu, Mzee Yusuf akiwa kwenye meza ya keki wakati wa onesho maalum la kundi hilo kutimiza miaka 5 ya bendi yake hiyo lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee,jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Kundi la Jahazi Modern Taarabu, Mzee Yusuf (pili kushoto) akiwa na baadhi ya wadau wa karibu wa Bendi yeke ya Jahazi wakati wa kukata keki ya onesho maalum la kundi hilo kutimiza miaka 5.
Mzee Yusuf akiimba kwa manjonjo.
Mzee Yusuf akiwasili ukumbini huku mashabiki wake lukuki waliwa wamelizunguka gari aliloingia nalo.
Baadhi ya waimbaji wa bendi ya Jahazi Modern Taarab wakiwa wametulia.
Mwimbaji wa Jahazi Modern Taarabu, Fatma Mahmoud akifanya vitu vyake.
hongera mzee yusuph
ReplyDeleteMh!
ReplyDeleteachia nyonyooooooooooo
ReplyDeleteMmmmmmh! hii make-up application imekaaje jamani. mbona nyuso zinatisha. Big up mzee Yusuf though.
ReplyDeletejamani dada wa kwanza hata,ungepaka kidogo tu na hapo mdomoni rangi moja tu ungependeza sana sasa hapo uko kama jini
ReplyDeleteAnonymous uliyeandika achia nyonyo kwa kweli hukukosea.
ReplyDeleteHii sasa ni taarabu au mambo gani haya? Hayo ma makeup ya kijini na nguo zisizoeleweka, yakheeeee munatufikisha tusikokupenda kwenye taarabu.
Mzee Yusuph hongera sana lakini angalia sana hivyo vituko vya hao mabinti.
hayo ma make up ndo mwanzo wa kansa aisee
ReplyDeleteYes hivi ndo vitu tunapenda si vitu vya kuiga tu kila siku. Tunataka muziki wetu wa asili tarab na wa dansi kwani hii ndo miziki ya TZ si hii ya kulazimishana na kuibeza kuwa ni yetu (fleva).
ReplyDeletehey INAT ALAWI MWIMBAJI WA ZAMANI WA IKHWAN SAFAA alisema katika mahojiano kuwa "TAARABU SIO KURUSHA ROHO BALI KUTULIZA ,ZAMANI KUNA AJABU YA KIROBOTO ,ASIEKULA NANASI,TOFAA LA KIUNGUJA,CHUMVI TUSIIDHARAU,SAIVI HAKUSEMEKI" sasa ipi sahihi au kuna TAARAB NA TAARABU?
ReplyDeleteBASI HAPA KUNA WAIMBAJI WATOKANAJI TU
Dada naona make up zake zina rangi ya CHADEMA
ReplyDeleteMzee Yusuph, guo hilo kama jini jabali. - Hongera lakini umefanya mambos.
ReplyDeleteDada MWANNE mbona umedhidisha make up? Alowambia umependeza kakudanganya
ReplyDeleteDada MWANNE mbona umedhidisha make up? Alowambia umependeza kakudanganya
ReplyDeleteHongera kwa kutimiza miaka 5 ya kuzaliwa JMT.Ushauri wa bure kwa dada wa kwanza kushoto kwetu,si kila mtindo wa vazi wampendeza kila mtu maana maumbo yanatofautiana sana!
ReplyDeletemdau wa 2:53 nakukubali hizo choice ulozitaja bab kubwa hata miaka 100 mbele haziji tena huoni hata mpenda masifa anaitwa mfalme?kwa kipi wache kina dada wapake mapoda wanavyotaka
ReplyDeletecoral paints..hapo kamaliza makopo manne tofauti...
ReplyDeletemanyonyo hayooooooooooo
ReplyDelete