Meya wa jiji la Edmonton, kwenye jimbo la Alberta nchini Canada amefanya wiki ya December 3 - 9, 2011 kuwa ni wiki ya Tanzania "TANZANIA WEEK" kwenye jiji lake hilo. Hii inatokana na watanzania waishio jijini hapo kuwa karibu na serikali ya jiji hilo katika nyanja mbali mbali za maendeleo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ndugu Michu na wadau, hii ni taarifa njema. Ninaomba msaada kama kuna jumuiya ya watanzania wanaoishi Canada, iwe ya kitaifa au ya kijimbo-provincial, ninahitaji sana kufanya nao mawasiliano muhimu. Kama hamtajali nisaidiwe contacts katika blog hii ya jamii au kwa email yangu tlusajo@yahoo.com

    ReplyDelete
  2. Ahsante Alberta kwa kututambua na kutujali ktk Maadhimisho haya muhimu ya miaka 50 ya UHURU WETU!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...