Karibuni kwa mara ya kwanza kwenye tamasha endelevu la Ubongo Fest..
Tarehe 10-12-2011. Mahali LEADERS CLUB Mjini Dar. saa 10 hadi usiku wa manane. Karibuni
Katika kusherehekea miaka 50 ya Uhuru wa TZ BARA"UBONGO FEST" Imefungua duru la mwanzo kabisa. Dk Remmy Ongala ni kipenzi cha watu, sauti ya wanyonge mwanaharakati kwa njia ya muziki. Kuenzi urithi aliotuachia ni kuienzi sanaa na utamaduni wa Tanzania. Taarifu wenzako na uje ujumuike nasi..Kuna bendi kadhaa za muziki wa dansi na wasanii wa muziki wa kizazi kipya.
LIVE JUKWAANI
Exel one band, Matimila Tribute Band, Planet man, Twanga Pepeta
Fid Q, Chidi Benz, Mrisho Mpoto, Jhiko man, Banana Zoro
Carola Kinasha, Na wasanii wengi wengine
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...