Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiondoka baada ya kuzindua jengo la Golden Jubilee Towers la PSPF mtaa wa Ohio jijini Dar es salaam leo. kulia kwake ni Waziri wa Fedha Mh Mustafa Mkullo na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh Said Mecky Sadik. Kwa picha zaidi ya tukio hili BOFYA HAPA
Home
Unlabelled
JK azindua rasmi jengo la Golden Jubilee Towers la PSPF jijini Dar leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...