Home
Unlabelled
ujumbe wa Miaka 50 ya Uhuru kutoka kwa Wanafunzi wa shule ya sekondari Mswaki mkoani Tanga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hata watoto wamejua kuwa maisha yetu bado ni mabaya,Ulaya ambao hali zao za maisha ni nzuri kuliko zetu wanajadili kupunguza matumizi,sie tunaongeza posho za wabunge.ANGALİENİ WATAKUA HAO MOTO UTAWAKA.
ReplyDeleteHawa wamekuwa wa kweli. Wengine wanasema mazuri tu lakini changamoto zinazotukabili hawazizungumzii kabisa kana kwamba kila kitu kiko shwari. Hongera vijana kwa kudhubutu.
ReplyDeleteI'm willing to send $200 kwa hawa wanafunzi wawili.Wameonyesha moyo mkubwa sana.
ReplyDeleteMwenye mawasiliano nao naomba anipatie.
shukran.
Kweli hawa vijana ndio watatuletea uhuru wa kweli wa nchi hii. Nina imani miaka 20 ijayo watanzania hawatakubali kupelekeshwa pelekeshwa. Dalili nzuri sana vijana. BIG UP
ReplyDeleteI love this Placard(sign)the message is perfect.
ReplyDeleteMIAKA 50 YA UHURU::::TUMETHUBUTU, TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE!!!!!
ReplyDeleteMswaki jimbo la Kilindi Mkoani Tanga, eneo hilo hilo wanafunzi wakidhihirisha makazi duni hata baada ya miaka 50 ya Uhuru wetu, pana wahesimiwa Wabunge wawili wa majimbo jirani mmoja amechukua mkopo wa Shs. 2 Bilioni karibuni wakimiliki migodi na wanachimba DHAHABU!