Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, Abbas Tarimba akitoa hotuba yake wakati wa hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa kampuni ya michezo ya kubahatisha nchini ya WINLOT,uliofanyika kwenye ukumbi wa Kivukoni ndani ya Hoteli ya Serrena (zamani Movenpick),jijini Dar es Salaam leo.
Mtendaji Mkuu wa kampuni ya SUGAL & DAMANI, Kamlesh Vijay akizungumza wakati wa hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa kampuni ya michezo ya kubahatisha nchini ya WINLOT,uliofanyika kwenye ukumbi wa Kivukoni ndani ya Hoteli ya Serrena (zamani Movenpick),jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampunu ya Michezo ya kubahatisha nchini ya WINLOT Tanzania, Arvind Dhariyal akizungumza wakati wa hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa kampuni ya michezo ya kubahatisha nchini ya WINLOT,uliofanyika kwenye ukumbi wa Kivukoni ndani ya Hoteli ya Serrena (zamani Movenpick),jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi Mkuu wa ITV/Radio One,Joyce Mhavile akiuliza swali kuhusiana na Michezo hiyo ya Kubahatisha mara baada ya kuzinduliwa rasmi kwa Kampuni ya Michezo ya kubahatisha nchini ya WINLOT.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Wadau tahadharini sana. Katika Uislamu na Ukristo kamari haikubaliki. Kamari ina uraibu sana ("addiction") kama vile heroin na cocaine. Watu wengi wametupilia mbali mamilion ya fedha kwa ajili ya kamari. Kuna bwana mmoja Dar aliuza nyumba yake kwa ajili ya kamari. Hapa Arusha bwana mwingine alijaribu mara tatu kujiua kwa ajili ya kupoteza pesa zake casino na kufikia hatua ya kumwibia bosi wake aliyekuwa anamwamini sana. At least nimeona nina wajibu wa kuwaambia haya ili mkiamua kuwa wacheza kamari mjue mnaingia shimo gani.

    ReplyDelete
  2. Mantiki ya michezo ya kubahatisha (gambling) ni kuwa lazima makasino yatapata faida na wachezaji watakula hasara in the long run.

    ReplyDelete
  3. kinachonifurahisha ni huyo mkurugenzi!!! anaonyesha kuswali sana lakini hachomoki kwenye posho za kamali maisha yake yote toka amepokea kwa mzee mohamed musa!! duu kweli yuko kwenye majaribu ya hali ya juu sana sijui anaswali nini?

    ReplyDelete
  4. very poor branding.

    ReplyDelete
  5. Ana fanya vyote kusali na kuchezesha kamari

    ReplyDelete
  6. MKURUGENZI WA ITV KWENYE PC? WHERE UR REPORTERS?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...