Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Wilson C. Mukama, wakiwa na Mh. Christoph Stasser (MP), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge la Ujerumani kusiana na Afrika. Anaesikiliza kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa FES Tanzania Dr. Stefan Chrobot. Mazungumzo haya yalifanyika wakati Mkutano mkuu wa SPD ukiendelea.
Katibu Mkuu wa CCM Mh. Wilson C. Mukama, akikaribishwa Makao Makuu ya FES (FREDRICH ELBERT STIFTUNG) na Rais wa FES Ndugu Peter Struck. Mukama yupo Berlin Ujerumani kuhudhuria Mkutano Mkuu wa SPD.
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Wilson C. Mukama, akiwa katika mazungumzo na Rais wa FES Ndugu Peter Struck Duniani. Katikati ni Mkurugenzi Mkazi wa FES Tanzania Dr. Stefan Chrobot. Mukama yupo Berlini Ujerumani kwa mwaliko wa Chama Cha SPD cha nchini humo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...