Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John M. Haule, akipokea msaada wa fedha kiasi cha Sh. 1,118,600.00/- kutoka kwa Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Zambia, Bibi Justa Nyange, kwa ajili ya waathirika wa ajali ya Meli ya MV Spice iliyotokea Zanzibar mwezi Septemba, 2011. Msaada huo umetolewa na Watanzania wanaoishi nchini Zambia. (Picha na Tagie Daisy Mwakawago wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa).
Home
Unlabelled
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje apokea msaada wa fedha kwa ajili ya waathirika wa ajali ya Meli ya MV Spice iliyotokea Zanzibar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...