Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira,Dk Terezya Huvisa akitia Saini Kitabu cha Maombolezo kwenye Ubalozi wa Korea ya Kaskazini Kufuatia kifo cha kiongozi wa Nchi Hiyo Kim Jong ll. Waziri Huvisa aliweka saini kwaniaba ya Makamu wa Rais,Dk. Mohammed Gharib Bilal katika Ofisi za Ubalozini huo Mikocheni Mjini Dar es Salaam.[Picha na Ali Meja]
Home
Unlabelled
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira aomboleza kifo cha Kim Jong ll
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...