KIWANJA KUNAUZWA KIPO KIJITONYAMA, KINA HATI NA UKUBWA 27 KWA 28 BEI TSHS 150M, KINA UZIO WA UKUTA NA TOFALI ZAIDI YA 4000.
MAWASILIANO PIGA 0713 32 77 13
(SERIOUS BUYERS ONLY)
Mdau Kijitonyama, Dar
MAWASILIANO PIGA 0713 32 77 13
(SERIOUS BUYERS ONLY)
Mdau Kijitonyama, Dar



How can you know who is serious buyer? Any one can be a serious buyer if all documents are available. And not only availability of documents, is the plot at illegal place? We don,t want problems at the end.
ReplyDeleteNow, HOW MUCH?
uswahilini bei hiyo! duh. Ama kweli ardhi ni overpriced bongo! Uzuzri ni kwamba ukweli unaanza kuonekana kutokana na oversuplly ya majengo na nyumba- bei zenyewe zinadondoka sasa, NA BADO na hayo mapartments yanayokuja!
ReplyDeletekaka sell that as fast as you can price zinaporomoka tunapokwenda hizo bei zinaanza kupitwa na wakati
ReplyDeletetoo expensive, hta masaki siyo bei hiyo!
ReplyDeletedah jamaa hiyo bei imefika kwa maeneo hayo 150m ??????????????
ReplyDeletehahaha mil. 150????? huu ni wizi wa nje nje.
ReplyDeleteHapa kwenye foreground sio mto huo? Mbona kijani sana? Kuna unyevunvevu? Ntakupigia mdau lakini ardhi kama hizi huu mwezi ndio kipimo kama tupu below au above sea level.
ReplyDeleteChamabondeni hicho tafadhali
ReplyDeleteHuwa panajaa maji ile mbaya bwawa la mpunga hiyo picha kapiga siku nyingi sana mwambieni apige leo kama hamjaona bahari
ReplyDeleteeheheh unauza million 150 au million moja na laki tano unawachanya watu andika vizuri
ReplyDeleteNadhani bei ya mkate sasa ni laki moja.
ReplyDeleteto be honest prices za nyumba bongo are overpriced, wajanja tunasubiri watu waanze kushindwa kulipa madeni ya nyumba walizonunua, tutanunua half the price.
ReplyDeleteHuu ni ushauri wa bure kwa ndugu zangu,watanzania wanapenda kufanya vitu kama style vile , sasa hivi kila mtu anataka kununua nyumba basi kila mtu atataka kununua ...
Buyin a house is like Marathon..you have to pace your self financially...
mbona kiwanja ni kizuri na bei ni rahisi sana au utapeli?
ReplyDeletemuuzaji ungeuza japo kwa milion 350 ukayatoa maisha
wabeba mabox nyie seemeni overprice hizo ndio bei, nyie chezeni tu mtaenda kuhamia chalinze
ReplyDeletewadau mbona bei poa tu,mimi nimenunua nyumba london chumba kimoja tu,sawa na milioni 400 tsh,halafu nina nyumba kigogo nauza milioni 200 anayetaka
ReplyDelete