MAKAMO KWA KWANZA WA RAIS, MAALIM SEIF SHARI FF HAMAD AKIZUNGUMZA NA WAANDHISHI WA HABARI  KATIKA UKUMBI WA BARAZA LA WAWAKILISHI LA ZAMANI KUHUSIANA NA MAFANIKIO YA MWAKA MMOJA WA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA.  KULIA NI WAZIRI WA NCHI AFISI YA MAKAMO WA KWANZA WA RAIS, MH FATMA ABDULHABIB FEREJ.
WAANDISHI WA HABARI WAKIWA WANAMSKILIZA MAKAMO WA KWANZA WA RAIS HAYUPO PICHANI WAKATI ALIPOKUWA AKIZUNGUMZA NAO KUHUSU MAFANIKIO YA MWAKA MMOJA WA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Jamani ndio tunapotosha kiswahili. Ni Makamo au Makamu wa Raisi??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...