Imefunguliwa A/C katika Bank ya  Wells fargo, kwa ajili ya kusaidia kuchangia na hatimae kuwezesha kuusafirisha mwili wa marehemu nyumbani Tanzania.


Maelezo ya account ni: Elimchili Lyaro, routing number 055003201 account number 7015276038 ."


Ndugu, Jamaa, Marafiki na Watanzania wote msiba huu ni wetu sote, UMOJA, MSHIKAMANO NA USHIRIKIANO WETU, ndio utakaowezesha na hatimae kufanikisha kuusafirisha mwili wa Ndugu yetu, Jamaa Yetu, Mtanzania mwenzetu na rafiki yetu mkubwa,  mpendwa Steina Mrema nyumbani Tanzania kwa mazishi, SISI TULIMPENDA STEINA LAKINI MWENYEZI AMEMPENDA ZAIDI, JINA LAKE LIHIMIDIWE.


Kwa wakaazi wa PA msiba upo:

ADDRESS
626 BRIDGE STREET,
COLLEGE, PA 19426.

Kwa wakaazi wa MD msiba upo

ADDRESS  
9005 LOCUST SPRING DR,
COLLEGE PARK, MD 20740.




KWA MAELEZO ZAIDI NA MAELEKEZO TAFADHALI PIGA SIMU:
STELLA NDOSSI- 302 377 3214
EDNA IWEKAMA-484 334 5607
ELIMCHILE LYARO-610 331 9164
VICTOR RWEHUMBIZA-302 740 2844
RASHIDI MKAKILE -240-938-3177
STEPHANO MHINA - 240-550-4962
GEORGE MWASALWIBA- 240-533-6941
EMMANUEL NNKO - 202-460-8638

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Huu msiba upo Magomeni au Tandale? Mbona hakuna maelezo ya kutosha? Namba tutapigajje hazina country code? Au wapigaji wanaelewana wenyewe?...NI MAONI YANGU TU.

    ReplyDelete
  2. kwakweli toeni details za kutosha, msiba upo PA,what do u mean?, MD,what does it stand for, au ndo hivyo wenyewe wanaelewana, lkn hata kama wanaelewana basi nasi wengine tungependa kujua,msiba upo nchi gani?

    ReplyDelete
  3. MD=Maryland, PA=Pennysilvania, Haya ni majimbo huko Marekani. Msiba uko Marekani na habari nilizonazo marehemu anatarajiwa kusafirishwa tarehe 30december kutoka MD kuelekea Moshi Kwa maazishi,hopping this will help

    ReplyDelete
  4. chokambayaa@live.comDecember 26, 2011

    hi, vipi jamani msiba wa ndugu yetu Steina unaendeleaje maana toka jmosi hakuna uptodate. mwenye current information tunaomba mtufahamishe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...