Kutokana na hali ya mvua inayoendelea kunyesha jijini Dar hivi sasa na kuleta maafa na madhara makubwa kwa wakazi wa maeneo mbali mbali ya jijini kwa wingi wa maji yaliyofurika,imewalazimu madereva hawa bodaboda kuchukua uamuzi wa kuzipiga sopsop bodaboda zao kwa maji hayo hayo ambayo yalikuwa yamejaa kwa wingi maeneo ya katikati ya jiji leo kama walivyokutwa na Kameraman wa Globu ya Jamii.
Home
Unlabelled
madereva wa bodaboda waamua kuzipiga sopsop bodaboda zao kwa maji ya mvua yaliyojaa katikati ya jiji la dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...