Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd (kulia) akipata maelezo ya Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umaskini Tanzania (MKUKUTA) kutoka kwa Afisa Usimamizi wa Fedha wa Idara ya Kuondoa Umaskini Tumaini Venance Mrema (kushoto) leo jijini Dar es salaam wakati kiongozi huyo aliopotembelea Banda la Wizara ya Fedha katika maonyesho ya Uhuru wa Tanzania Bara yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd (katikati) akisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa Meneja Masoko wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT) Nunu Saghaf (kushoto) jinsi wananchi wanavyowez kunufaika na uwekezaji leo jijini Dar es salaam wakati kiongozi huyo aliopotembelea Banda la Wizara ya Fedha katika maonyesho ya Uhuru wa Tanzania Bara yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Afisa Uhusiano wa Benki Kuu ya Tanzania Vicky Msina(wa pili kutoka kushoto) akimwonyesha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd (kulia) picha za fedha mbalimbali zilizotumika tangu Tanzania bara ilipopata uhuru wake hadi hivi sasa jana jijini Dar es salaam wakati kiongozi huyo aliopotembelea Banda la Wizara ya Fedha katika maonyesho ya Uhuru wa Tanzania Bara yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Mchambuzi wa Mifumo ya Kompyuta kutoka Idara ya Usimamizi wa Mifumo ya Fedha , Wizara ya Fedha Elimu Sekeni(kushoto) akimwonyesha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd (katikati) picha za Mawaziri waliowahi kuiongoza Wizara hiyo tangu mwaka 1961 hadi 2011 leo jijini Dar es salaam wakati kiongozi huyo aliopotembelea Banda la Wizara ya Fedha katika maonyesho ya Uhuru wa Tanzania Bara yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Kulia ni Naibu Waziri wa Fedha Pereira Silima.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd (katikati) akisoma vipeperushi vya Mfuko wa Peshneni wa PPF leo jijini Dar es salaam wakati kiongozi huyo aliopotembelea Banda la Wizara ya Fedha katika maonyesho ya Uhuru wa Tanzania Bara yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd (kulia) akimsikiliza maelezo kwa makini kutoka kwa Meneja Miongozo ya Manunuzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi (PPRA) Eva Lupembe leo jijini Dar es salaam wakati kiongozi huyo aliopotembelea Banda la Wizara ya Fedha katika maonyesho ya Uhuru wa Tanzania Bara yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...