Mkuu wa mkoa wa Ruvuma,Mh. Said Mwambungu (kushoto) akipokea shati kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya mantra Tanzania,Bw Asa Mwaipopo yenye ujumbe wa miaka hamsini ya uhuru wa Tanzania.
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Mantra Tanzania inayofanya utafiti wa madini ya uranium katika pori la hifadhi ya taifa ya Serou wilayani Namtumbo Mkoani Ruvuma,Bw. Asa Mwaipopo akiongea wakati wa kikao kati ya wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa huo na uongozi wa juu wa kampuni hiyo,katikati ni mkuu wa mkoa wa ruvuma Said mwambungu
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa wa Ruvuma,wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa huo,Mh. Said Mwambungu (hayupo pichani) wakati wa kikao cha Kamati ya Uongozi wa wa Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Uranium (Mantra) katika ukumbi wa Hospitali Mkoa,Mjini Songea.
mkuu wa mko wa ruvuma si stella manyanya?
ReplyDelete