Baadhi ya  Makomandoo wa Jeshi la Ulinzi wa Tanzania wakionesha ukakamavu na mbinu za mapigano bila silaha wakati wa kilele cha sherehe za Miaka 50 ya Uhuru uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 23 mpaka sasa

  1. Mimi huwa nina negative comments kuhusu JWTZ lakini leo nimependa jinsi hawa jamaa walivyo na maumbile ya kijeshi. Ni warefu,weusi(wazuri), wamejazia, wamependeza (sare ina dizaini nzuri), hawana vitambi, na wana nguvu. Ni rasilimali nzuri ya kumtishia adui.

    Ila sijui kichwani kwao kama kuna mwanga wa kutosha.

    kingine sijui haya ni maigizo yalioandaliwa kwa miezi 6 kwa ajili ya sherehe au ni ujuzi wao halisia.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama huamini join the army na uje 92 SOF Bn sawa utaamini au utakimbia ubakina kumbukumbu moyoni

      Delete
  2. Yes tupo kamili,,haya ndio Majembe babake,hewani kwa hewani, hii itafaa kwa Majeshi yote TZ hadi Polisi isipokuwa Uadilifu uzingatiwe!

    ReplyDelete
  3. Hii siku labda tungeambiw uchumi nao unafanyiwa kazi maana ajra nazo hakuna. Hii show ya Makomandoo Mm nilkua na depression leo "kazi, chuo"! Naona makomandoo ebwana!!! Tanzanian Navy Seals? I love it!

    ReplyDelete
  4. picha nzuri sana hiii

    ReplyDelete
  5. Yaaani this was super, nimewapenda kinoma.bll

    ReplyDelete
  6. Very nice picture!

    ReplyDelete
  7. kakaaaa nimekukubali sawa! Mie kimya hapoo

    ReplyDelete
  8. mbele za risasi za moto haonekani mtu , ukomando ni kwenye tv tu

    mdau paris

    ReplyDelete
  9. h aha hahhaa! Jamaa mikwala tu.

    ReplyDelete
  10. this is an excellent photo!

    ReplyDelete
  11. Tatizo siku hizi jamaa wanamiliki Drones..
    Gadafi alikuwa nao kama hawa zaidi ya 2000.. akaishia kwenye friji ya butcher..

    ReplyDelete
  12. Hongereni sana makomandoo wetu. Miaka 50 ya Uhuru imedhihirisha wazi kwamba tumeweza na tunazidi kusonga mbele. Hongereni sana. "Hongereni Miaka 50 ya Uhuru"

    ReplyDelete
  13. Nilikuwa nianzishe vita na Tanzania lakini sasa nimeghairi maana hawa jamaa wako fiti sana. Sana sana nitachokoza nchi nyingine halafu niombe msaada Tanzania.

    ReplyDelete
  14. ASANTE ANKAL.KUMBE NA SISI TUNAO NAVY CEAL KAMA WALE WALIOMCHOROPOA OSAMA. ASANTE KWA PICHA NZURI MAANA TULIKUEA TUMECHOSWA NA PICHA ZA WAREMBO.

    ReplyDelete
  15. Lakini ! ARE THEY FIT PSYCHOLOGICAL`?

    ReplyDelete
  16. Duuh hawa MITU wamewapata wapi,wasije wakawa WANYARWANDA,manake hizo height si za kibongo bana mi nina wasiwasi,ka jeshi lote lingekua hv,halafu hakunaga wazee wa VITAMBI NOMA,basi tungetisha ha ha haaaa.

    ReplyDelete
  17. Ba TZ kwa porojo!! mi napendaga kujisomea comment humu na kucheka.

    ReplyDelete
  18. Hapa Al-shabaab achokoze aone. Al-shabaab chezea Kenya sio Tanzania, askari wa Iddi Amini na Gaddaffi wanalijua hili maana makomandoo walijenga commando bridge mto Kagera wakaingia wakavuruga Uganda yote ndipo kichapo kikaanza mwanaume akakimbia nchi yake mwenyewe.

    ReplyDelete
  19. hehehe mnarukaruka wenzenu wanakula posho kiulainiii
    "Tanzaniaaa Tanzaniaaaaa
    Nakupendaa kwa Moyo woooteeeeee!

    ReplyDelete
  20. Hongera! Kazi nzuri sana jeshi letu. Mimi ningependa kuona hata mapolisi wetu wakiwa katika hali hii. Na sana sana maofisa wengi wa jeshi la polisi wanahitaji mchakamchaka ili kupunguza musosi chini ya vifua vyao.

    ReplyDelete
  21. Mbona mwanamke hamna komandoo? Mnatakiwa mbadilike!!

    ReplyDelete
  22. Thesa are super combatants, super guys, ipo shughuli pevu hapo, wakati wa course hii hawa jamaa menu yao ni mijusi na inzi, hamna maji ya kunywa can you imagine!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...