Vijana wengi hapa jijini Dar ambao wanacheza mchezo huu wa kutembea na viatu vya matairi hupenda sana kufanya michezo hiyo kwa kushika magari kwa nyuma namna hii na kusafiri umbali mrefu na kurudi huku akiwa hana tahadhari ya namna yeyote,jambo ambalo linaweza kusababisha hari ya hatari kwa maisha yake.
Home
Unlabelled
mchezo huu ni hatari sana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Hawa madogo vichwa ngumu saaana...kujiliwaza gani huku?, hivi kweli hakuna mazingira mengine ya kufanyia michezo ya namna hii hadi ktk mabara bara yetu na hali yake kama ilivyo na madereva wetu hawa mbili kasorobo?
ReplyDeleteWengine watoto wanafanya mchezo huu kwao majumbani wazazi wao na ndugu hawajui kabisa kinachoendelea!
Tena utakuta mtoto anafanya hivi hali ya familia yake ni mwenzangu na mimi!,,,pooo kavunjika matibabu mgogoro!,,,au puuu kafa unakuta yeye ni mtoto pekee anategemewa!
Ya nini presha yote hii?
mwache amwage maini kajitolea huyo kwani ukiangalia umri wake anaweza kujuwa baya na zuri
ReplyDeleteWaache wacheze, "asiyefunzwa na mamaye, ............."
ReplyDeletekwani wakifa tatizo ni nini? wanatujazia tu hewa chafu, acha wafe.
ReplyDeleteTusiwaache hawa vijana kwani, ni ''teenegers''. Matatizo ya huo umri kila mtu mzima anayajua. Wakatazwe wasijiletee hatari
ReplyDeletehao hawajui kuwa wenzao wanocheza huu mchezo wanalipwa na masponsor na pia kuna hospitali za kueleweka sio MUHIMBILI
ReplyDeleteNi mchezo wa kifo, halafu ni wabishi ka nini inabidi we mwenye gari ndo umuangali kama yuko mbele yako. Ni vyema wakamatwe na kutozwa faini kwa matumizi mabaya ya barabara La sivyo tutaishia kulaumiana na kuvunjiana vioo vya gari bure.Maana wabongo wahisi kila ajali mwenye kosa ni mwenye gari bila kuangalia mtu huyo amegongwa katika mazingira gani.
ReplyDeleteTuwanunulie magari traffic polisi wetu ile watembee barabarani na kuwatokomeza watu kama hawa ambao wanahatarisha maisha ya kila mtu.
ReplyDeleteMkuu si ungeandika Kiswahili inachokijua tu, hiyo broken English imeniacha hoi bin taabaan!
ReplyDeleteMkuu si ungeandika Kiswahili inachokijua tu, hiyo broken English imeniacha hoi bin taabaan!
ReplyDeletePolisi traffic wapo kibao na wamepewa pikipiki,inashangaza wanashindwa kuzuia kitu kama hiki.Mimi nafikiri polisi wapewe somo.
ReplyDeletedoooh
ReplyDeletenNYINYI HAMJUI KUA HUYU HAPA ANAKUA KISHASAVE NAULI YAKE HAPO ANAKWENDA ANAKOTAKA BILA YA KULIPA
ReplyDeletesorry hii post ya mda lakin nimesoma comments na mi nimeona nchangie! jaman msisahau huu cio mchezo tuu ni usafiri pia! afu kama hamwatak barabarani si mu wajengee maeneo yao special!
ReplyDelete