Maharusi Balozi Kindamba na Mkewe Bi. Rukia wakidiskasi jambo wakati wakijiandaa kuingia ukumbini.
MC Kibonde wakiwapa utaratibu Maharusi na namna ya kuingia ukumbuni.
Maharusi wakiingia Ukumbini kwa muziki matata kabisa.
Makarusi wakikata keki.
Maharusi na Wapambe wao.
Congratulation Balozi Kindamba,M mungu Atakupa happy and lovely marriage..Martin Luther king anasema.."There is no more lovely, friendly and charming relationship, communion or company
ReplyDeletethan a good marriage"
Your Darajani Primary School friend Abuu Ally
Aisee nguo ya bi harusi nimeimaindi, very simple and elegant. Tino, vyuti vyenu ni vya Haki Ngowi nini, naona mikato yake kwa mbaali!!
ReplyDeletecute photos ila naona saa ni oversize.
ReplyDeletewasimamizi wako single?
ReplyDeletealexo hapa limihagati
Mwenyekiittttiiiiiiiiiii
ReplyDeleteDuhhh Mdau Balozi Kindamba upo juuu!!!.
ReplyDeleteKwa Black Velvet collar coat na Black velvet neck tie..wewe na Best Man wako!
Inshallah Mungu akupe ndoa ya amani na furaha!!!