Maharusi Balozi Kindamba na Mkewe Bi. Rukia wakidiskasi jambo wakati wakijiandaa kuingia ukumbini.
 MC Kibonde wakiwapa utaratibu Maharusi na namna ya kuingia ukumbuni.
Maharusi wakiingia Ukumbini kwa muziki matata kabisa.
 Makarusi wakikata keki.

Maharusi na Wapambe wao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Congratulation Balozi Kindamba,M mungu Atakupa happy and lovely marriage..Martin Luther king anasema.."There is no more lovely, friendly and charming relationship, communion or company
    than a good marriage"

    Your Darajani Primary School friend Abuu Ally

    ReplyDelete
  2. Aisee nguo ya bi harusi nimeimaindi, very simple and elegant. Tino, vyuti vyenu ni vya Haki Ngowi nini, naona mikato yake kwa mbaali!!

    ReplyDelete
  3. cute photos ila naona saa ni oversize.

    ReplyDelete
  4. wasimamizi wako single?
    alexo hapa limihagati

    ReplyDelete
  5. Mwenyekiittttiiiiiiiiiii

    ReplyDelete
  6. Duhhh Mdau Balozi Kindamba upo juuu!!!.

    Kwa Black Velvet collar coat na Black velvet neck tie..wewe na Best Man wako!

    Inshallah Mungu akupe ndoa ya amani na furaha!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...