Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,Mh. Said mwambungu (kushoto) akiongea na wafanyakazi wa hospitali ya mkoa Ruvuma (HOMSO) (hawapo pichani) baada ya kufanya ziara maalum ya kutembelea hospitali hiyo juzi,ambpo aliwataka kuongeza bidii ya kazi na kutunza siri za wagonjwa wao.
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,Dkt. Daniel Malekela (kushoto) akimueleza jambo Mkuu wa Mkoa huo,Mh. Said Mwambungu (wa pili kushoto) kabla ya kukutana na watumishi wa hospitali hiyo Mjini Songea hivi karibuni.wa pili kulia ni Mganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali hiyo,Dkt. Benedict Ngaiza.
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Watoto kutoka Nchini Cuba aliyeafahamika kwa jina moja la Jamila (kulia) akimfafanulia jambo Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,Mh. Said Mwambungu baada ya Mkuu huyo wa Mkoa kutembelea wodi ya watoto.Picha na Muhidin Amri wa Globu ya Jamii,Ruvuma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...