Mrembo Nasreen Karim akitoa maelezo kuhusiana na Bidhaa zinazopatikana kwenye Duka ENJIPAI ambazo zinatengenezwa kwa Mikono ya Wanawake wa Tanzania Wajasiriamali.
Baadhi ya Bidhaa zikiwa kwenye Show Room ya ENJIPAI.
Mrembo Nasreen Karim katika picha ya pamoja na baadhi ya Kinamama wa Kimasai wanaotengeneza bidhaa hizo.

Baadhi ya Wageni waalikwa wakila na kunywa wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa Duka hilo.
Dicky Chain mzee wa kujipekecha
ReplyDeleteAhahaaaa Dick Chen haupitwi naona kila kijishughuli up mpaka Vidie ya "Mbagala " upo.
ReplyDeletePicha ya kwanza, mrembo wa kulia in nyekundu, naomba nitambulishwe tafadhali. Macho jamani, binti ameumbika Mashallah.
ReplyDeleteHicho kichwa na nywele ni big noooo
ReplyDelete