NASHERA HOTEL, HOTELI MPYA YA HADHI ILIYOPO MKOANI MOROGOGORO WANATOA OFA MAALUMU MSIMU HUU WA SIKUKUU ZA XMAS NA MWAKA MPYA KAMA IFUATAVYO;
XMAS: Kuanzia tarehe 23 - 26 Dec ambapo kwa USD 85 kwa mtu mmoja pamoja na malazi kutakuwa na Dinner maalum ya xmas(xmas Dinner Gala), Berbecues, Party ya watoto pamoja na kutembelea mbuga za wanyama za Mikumi National Park pamoja na burudani nyingi za xmas.
MWAKA MPYA: Kuanzia 30th Dec 2011 - 1 Jan 2012 Dinner Gala ya mwaka mpya, Berbecues, safari ya Mikumi National Park na mengine mengi kwa USD 85 kwa mtu mmoja.
ANGALIZO: WATOTO CHINI YA MIAKA 5 WATAHUDUMIWA BURE NA WATOTO CHINI YA MIAKA 12 WATALIPIA 50% YA GHARAMA ZA MTU MZIMA.
WASILIANA: SIMU 0232613931-5 AU 0716-678233.
info@nasherahotel.com or nasherahotels@morogoro.net
Ndio maana uchumi unazidi kuporomoka,kwa nini bei iwe kwa US dola?serikali inabidi ipige marufuku huu mchezo
ReplyDeletenice hotel, really american style. ila dola 85 nyingi sana.
ReplyDeletelakini kama wateja wanajitokeza, basi sisi tunaolalamika ni kwasababu hatuna uwezo na si mahala petu, guest house za 20,000 zimejaa kibao.