Njia hii ambayo ipo Upanga katika eneo ambali lina ukumbi wa maarufu Diamond Jubilee,jijini Dar es Salaam imechimbwa mashimo na kuachwa hivyo kwa muda sasa.haijafahamika kwa haraka kwamba ni kwa nini imeachwa namna hii!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mbona barabara hiyo ipo hivyo muda mrefu sana.

    ReplyDelete
  2. Angalau tumethubutu,tumeweza na sasa tunasonga mbele!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...