Mchezaji wa timu ya Netiboli ya Chuo cha CBE ( GS) (kulia ) akiwania mpira na Mchezaji wa timu ya TIA ( kulia) katika mchezo wa hatua ya musu fainali za mashindano ya Shimivuta, mjini Morogoro, timu ya CBE iliibuka washindi kwa mabao 40 -24 .
Nahodha wa timu ya Netiboli ya Chuo cha Biashara cha Dar es Salaam, (CBE), Evodia Sanga ( mwenye jezi WA),akitoa pasi kwa mchezaji mwenzake ,Penina Mbaya ( mwenye jezi GS) wakati wa mchezo wa nusu
fainali dhidi ya timu ya Chuo cha Uhasibu Tanzania ( TIA) uliofanyika Desemba 16, mwaka huu kwenye michezo ya 36 ya Shimivuta, mjini hapa, katika mchezo huo , CBE ilishinda mabao 40 -24. Picha zote na John Nditi
Kaka,
ReplyDeleteHuyo EVODIA huyoi kama bado hajaolewa naomba awasiliane nami tafadhali.
Kama ameolewa basi, maana mke wa mtu sumu.