PROF JAY akiwa kwenye studio za BEN TV SKY CHANNEL 184 LONDON
PROF JAY AKIFANYA INTERVIEW MABALI MBALI KUHUSU SHEREHE ZA MIAKA 5 YA UHURU WA TANZANIA
PROF JAY AKIWA NA MISTER SEED KWENYE SHEREHE ZA UHURU WA KENYA BAADA YA KUFANYA VITU VYAKE HAPO LONDON
PROF JAY JIJINI LONDON
PROF JAY AKIWA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA SOMALIA
PROF JAY IN LONDON TO PERFORM AT TANZANIA @50 CELEBRATIONS. AT PULSE CLUB 1 INVICTA PALZE , LONDON SE1 9UF ON THE 10 TH DEC 2011
Please contact Ayoub mzee TEL 07960811614
PROF JAY IN LONDON TO PERFORM AT TANZANIA @50 CELEBRATIONS. AT PULSE CLUB 1 INVICTA PALZE , LONDON SE1 9UF ON THE 10 TH DEC 2011
Please contact Ayoub mzee TEL 07960811614
BIG UP MWANANGU PROFESSOR J NIMEKUKUBALI ALL THE BEST LOVE YOU MAN!!
ReplyDeleteMichuzi mbona hutupi habari kamili za sherehe za uhuru huko nyumbani? Au ndiyo yaleyale asiekuwepo na lake halipo? Tupe news mkuu mi nimecancel shift ili nipate kitu kamili matokeo yake nimeishia kusikiliza tuu clouds radio. I'M SO DISSAPOINTED. Wanao na shemeji yako wamenimind sana kuto kwenda kazini.
ReplyDeleteHuyu Prof mbona anataka kushindana na pepekale. Ingia Gym mwanangu ubonge huo hatari kwa afya, ooh
ReplyDeleteWamekuamaindi kwa kotokwenda kazini kwa sababu hawakupendi, hawataki ushinde nyumbani. Mwenzio siku nikisema 'leo nashinda nyumbani' basi ni sherehe bab kubwa, mamaa na watoto wote happy!
ReplyDelete