PROF JAY  akiwa  kwenye studio za  BEN TV  SKY  CHANNEL  184 LONDON
 PROF  JAY  AKIFANYA  INTERVIEW  MABALI  MBALI KUHUSU  SHEREHE  ZA  MIAKA  5  YA  UHURU  WA TANZANIA
 PROF  JAY  AKIWA NA MISTER  SEED KWENYE  SHEREHE  ZA  UHURU  WA  KENYA  BAADA  YA KUFANYA  VITU  VYAKE  HAPO  LONDON
 PROF JAY JIJINI  LONDON
PROF JAY AKIWA  NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE  WA SOMALIA

PROF JAY IN LONDON TO PERFORM AT TANZANIA @50 CELEBRATIONS. AT PULSE CLUB 1 INVICTA PALZE , LONDON SE1 9UF ON THE 10 TH DEC 2011
Please contact Ayoub mzee TEL 07960811614

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. BIG UP MWANANGU PROFESSOR J NIMEKUKUBALI ALL THE BEST LOVE YOU MAN!!

    ReplyDelete
  2. Michuzi mbona hutupi habari kamili za sherehe za uhuru huko nyumbani? Au ndiyo yaleyale asiekuwepo na lake halipo? Tupe news mkuu mi nimecancel shift ili nipate kitu kamili matokeo yake nimeishia kusikiliza tuu clouds radio. I'M SO DISSAPOINTED. Wanao na shemeji yako wamenimind sana kuto kwenda kazini.

    ReplyDelete
  3. Huyu Prof mbona anataka kushindana na pepekale. Ingia Gym mwanangu ubonge huo hatari kwa afya, ooh

    ReplyDelete
  4. Wamekuamaindi kwa kotokwenda kazini kwa sababu hawakupendi, hawataki ushinde nyumbani. Mwenzio siku nikisema 'leo nashinda nyumbani' basi ni sherehe bab kubwa, mamaa na watoto wote happy!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...