Baiskeli ya Tairi tatu maarufu kama Guta iliyokuwa imesheheni mzigo wa miwa ikiwa imeanguka chini mara maada ya kushukumwa na daladala iliyopelekea kupinda kwa tairi moja la nyuma la guta hilo na kuanguka kama ionekanavyo pichani hapa,tukio hilo limetokea hivi punde maeneo ya Ilala soko la Mchikichini,jijini Dar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hahahaha, makubwa hii ni sawa na kufariki kwa Daktari akabakia mgonjwa!

    ReplyDelete
  2. wewe wa 1st komenti pumba sana unacheka nini? wakati mtu amefanyiwa unyama?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...