Baiskeli ya Tairi tatu maarufu kama Guta iliyokuwa imesheheni mzigo wa miwa ikiwa imeanguka chini mara maada ya kushukumwa na daladala iliyopelekea kupinda kwa tairi moja la nyuma la guta hilo na kuanguka kama ionekanavyo pichani hapa,tukio hilo limetokea hivi punde maeneo ya Ilala soko la Mchikichini,jijini Dar.
Home
Unlabelled
Punda Anapokufa kabla ya Mzigo Kufika
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hahahaha, makubwa hii ni sawa na kufariki kwa Daktari akabakia mgonjwa!
ReplyDeletewewe wa 1st komenti pumba sana unacheka nini? wakati mtu amefanyiwa unyama?
ReplyDelete