Waziri wa Uchukuzi,Mh. Omari Nundu akiongea na wafanyakazi wa sekta ya uchukuzi nchini wakati wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Usafiri wa Anga Duniani,yaliyofanyik hivi karibuni jijini Dar.
Mkurugenzi wa Utafiti wa Mamlaka ya hewa,Dr. Emmanuel Mpeta akitoa neno la shukurani katika hafla hiyo.
Waziri Nundu akisalimiana na wafanyakazi wa sekta ya anga nchini.
Waziri wa Uchukuzi,Mh. Omari Nundu (kushoto) akimsikiza Mwenyekiti wa Bodi ya TCCA,Bi. Mwamtumu Malale.
Waziri wa Uchukuzi,Mh. Omari Nundu (kulia) akiongea na mwanahabari Paschal Mayala.
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga wakimsikiza waziri wa Uchukuzi,Mh. Omari Nundu (hayupo pichani).
Picha ya pamoja (kati mwenye suti nyeusi) Waziri wa Uchukuzi,Mh. Omari Nyundo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...