Rais Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa juu wakiwa na wageni waliohudhuria sherehe hizo
 Sehemu ya uwanja wa sherehe
 Rais Kikwete akiwa na marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mh Benjamin William Mkapa
 Viongozi wa sasa na waliostaafu
Rais Kikwete akiwa na wake za viongozi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Can't see mama Maria Nyerere on the last picture

    ReplyDelete
  2. Duh, picha ya tatu toka juu amemiss Mzee wetu. R.I,P JKN.

    ReplyDelete
  3. Wapi Mheshimiwa Lowassa?

    ReplyDelete
  4. Mbona mama yetu Maria hayupo?

    ReplyDelete
  5. Hongereni mama zetu, mmependeza na African dress!!! I like it,you are looking very gorgeous

    ReplyDelete
  6. Wabongo bwana waniboa kinoma..Kila kitu wanasifia tu,mara parade ya wanajeshi hivi mara raisi vile na mara hawa wanawake vile. Wakivaa hovyo mtasema?Kuwa mzalendo maana yake co kuwa kipofu na mtumwa wa fikra wala sio kuwa maskini wa kutafakari.Hawa viongozi wote wa nchi hii waliopita na watakaokuja mpaka wamwisho wao watakwenda kujibu mbele ya Muumba juu ya Uma wote wa waTz kwa namna wanavyowaongoza.Atapona yule atakaekua muadilifu lkn kama itaendelea kuwa hivi kila mmoja anayo mazito yakujibu na Mtu mwerevu ni yule mwenye kutafakari juu ya yatakamkuta baada yakifo chake.

    ReplyDelete
  7. marais watatu, mmoja mnee, mmoja mrefu, mmoja mfupi.

    ReplyDelete
  8. Wapi Alhaji Aboud Jumbe, wapi Mh. Lowasa???

    ReplyDelete
  9. Li wapi jembe langu Lowasa? Mmemtenga?

    ReplyDelete
  10. Naona jina la Jumbe likitajwa wakuu wanatamani kupasuka! Hivi jameni alifanyaga nini huyu mheshimiwa? Naomba mnijuze wadau.

    ReplyDelete
  11. Mzee Mmasai ameharibu,,,ndio maana ktk mikusanyiko kama hii inawezekana anajitenga mwenyewe kwa aibu au kwa watu kuamua tu anatengwa!

    ReplyDelete
  12. Duhh ila Mzee yule Mmasai sio mchezo ni jasiri sana!,,,pamoja na kuanguka kote kule nyakati zingine anajikakamua anajichanganya ingawa hakubaliki tena!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...