Rais Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa juu wakiwa na wageni waliohudhuria sherehe hizo
Sehemu ya uwanja wa sherehe
Rais Kikwete akiwa na marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mh Benjamin William Mkapa
Viongozi wa sasa na waliostaafu
Rais Kikwete akiwa na wake za viongozi
Can't see mama Maria Nyerere on the last picture
ReplyDeleteDuh, picha ya tatu toka juu amemiss Mzee wetu. R.I,P JKN.
ReplyDeleteWapi Mheshimiwa Lowassa?
ReplyDeleteMbona mama yetu Maria hayupo?
ReplyDeleteHongereni mama zetu, mmependeza na African dress!!! I like it,you are looking very gorgeous
ReplyDeleteWabongo bwana waniboa kinoma..Kila kitu wanasifia tu,mara parade ya wanajeshi hivi mara raisi vile na mara hawa wanawake vile. Wakivaa hovyo mtasema?Kuwa mzalendo maana yake co kuwa kipofu na mtumwa wa fikra wala sio kuwa maskini wa kutafakari.Hawa viongozi wote wa nchi hii waliopita na watakaokuja mpaka wamwisho wao watakwenda kujibu mbele ya Muumba juu ya Uma wote wa waTz kwa namna wanavyowaongoza.Atapona yule atakaekua muadilifu lkn kama itaendelea kuwa hivi kila mmoja anayo mazito yakujibu na Mtu mwerevu ni yule mwenye kutafakari juu ya yatakamkuta baada yakifo chake.
ReplyDeletemarais watatu, mmoja mnee, mmoja mrefu, mmoja mfupi.
ReplyDeleteWapi Alhaji Aboud Jumbe, wapi Mh. Lowasa???
ReplyDeleteLi wapi jembe langu Lowasa? Mmemtenga?
ReplyDeleteNaona jina la Jumbe likitajwa wakuu wanatamani kupasuka! Hivi jameni alifanyaga nini huyu mheshimiwa? Naomba mnijuze wadau.
ReplyDeleteMzee Mmasai ameharibu,,,ndio maana ktk mikusanyiko kama hii inawezekana anajitenga mwenyewe kwa aibu au kwa watu kuamua tu anatengwa!
ReplyDeleteDuhh ila Mzee yule Mmasai sio mchezo ni jasiri sana!,,,pamoja na kuanguka kote kule nyakati zingine anajikakamua anajichanganya ingawa hakubaliki tena!
ReplyDelete