Msanii alikiba akipongezwa wakati alipotumbuiza katika sherehe za kusheherekea miaka 50th ya Uhuru wa Tanzania zilizofanyika London Uingereza. Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Sijawahi kuona sherehe mbaya na zilizokosa mpangilio,usumbufu na utapeli wa hali ya juu kama hizi, sherehe kubwa kama hizi mnaenda weka chini ya madaraja ya treni hilo hall halina hadhi ya sherehe hizo mmetupiga changa la macho

    ReplyDelete
  2. Sasa kama ni kweli kulikuwa kubaya inamaana ubalozi haukujishughulisha au balozi alifikaje kwenye ukumbi chini ya daraja kwa sikukuu ya nchi yake ama yeye alialikwa tu waliandaa watu wengine hebu tufahamisheni.Lini mambo ya kibongo bongo yatakuwa yaliyonyooka au miaka 50 mingine tena?

    ReplyDelete
  3. Hii shughuli ilikuwa ikiratibiwa na Ubalozi, nashangaa ni mambo gani haya waliofanya, na kiingilio kilikuwa juu sana, eti chini ya gofu la daraja.
    Huu ni mzaha jamani.

    ReplyDelete
  4. Ubalozi ulikuwa hauhusiki japo ulialikwa hapa wakujibu thuma zote ni Ayoub Mzee, Safina na Kassu. Kutupeleka kwenye lijengo la ajabu ajabu na kiingilio £35 na £25 wasanii kuja kuimba nyimbo mbili mbili then tunafungiwa shughuli WIZI MTUPU

    ReplyDelete
  5. Nyie hamna shukrani, bora wao binafsi wameandaa shughuli kwa gharama zao binafsi mkajumuika. Mbona hamkualikwa ubalozini?

    ReplyDelete
  6. kweli mdau hapo juu. Hivi kweli ubalozi ulishindwa kabisa kuandaa sherehe kuadhimisha miaka 50 hapa uk? Tena ikiwa hapa uk ni nchi ilikowa koloni mama???
    Inaiingia akilini kweli??
    Mbona Diaspora huwezekana, imekuwaje kushindwa maiaka hii muhimu 50???????

    ReplyDelete
  7. Wenyeji wazamani walishaacha kwenda toka zamani tunaokwenda ni sisi marafili wakaribu na tunakwenda kwakuwa wanatusumbua na kuomba twende lakini ni ujinga na utapeli. Kila maali watapeli ata kwenye mizigo tunayotuma. Kero kama tupo bongo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...