Hallo! Mdau sisi wanafunzi wa Kitanzania ambao tupo hapa Groningen,Uholanzi tunapenda kusherehekea miaka 50 ya uhuru wa Nchi yetu hapo 9/12/2011 na watanzania wengine popote duniani.
Tunaitakia nchi yetu amani na utulivu.Tunawakaribisha wote katika sherehe hii.Mahali itakapofanyika tafadhali soma kipeperushi.Tunaomba mdau utulushie hili tangazo kwenye Blog yetu ya jamii.
Tangazo limeandaliwa na Mwenyekiti Mcfalen Mrema na Msaidizi wake Twalib Zahor,
Na imetumwa kwako na Fabian W. Nyenyembe Afisa uhusiano na habari.
NIMEFURAHI SANA KUONA WATANGANYIKA WENZANGU HUKO GRONGEN.Unajua watu waote wanasema uhuru za Tanzania na wamekuwa hawajibu swali la msingi kuwa Tanzania kama inaadhimisha uhuru ilitawaliwa na nani na lini?
ReplyDeleteNashukru ningyi huko Grongen mmeliona hilo na Mungu awatangulie.
Namimi nitafika kwa kishindo siku hiyo
MDAU WA KWANZA UNAEUNGA MOKONI HOJA YA UHURU WA TANGANYIKA::::::::::::
ReplyDeleteNaomba niulize maswali haya matatu hapa chini;
1.Hivi aliyetahiriwa ni sawa na asiye tahiriwa?
2.Je aliyetahiriwa anaweza kufurahi kuitwa kuwa hajatahiriwa?
3.Je aliyetahiriwa anaweza kukubali arudishiwe mzigo wake na kuwa na (zob... au gov...) tena kama alivyokuwa zamani?
DHANA YA TANZANIA dhidi ya (TANGANYIKA ZA ZANZIBAR ASILIA) ni sawa na KUTOKA HATUA MOJA NA KUINGIA YA PILI KWA MIFANO HIYO YA MASWALI MATATU HAPO JUU...zaidi ya hapo ni uchochezi na utenganishi bila kutumia akili hakuna kingine!!! Ahsanteni!
Hahahahah, mdau wa pili ama kweli wewe ni mwalimu wa kivitendo!
ReplyDeleteKwa kweli hakuna hata mmoja hata kama ni kichaa atakae kubali arudi ktk hali ya zamani!
(U Tanganyika na Zanibar asilia)
ni wakati kabla ya KUTAHIRIWA
(U Tanzania) ni hali ya kuwa UMESHA TAHIRIWA!
Sasa wale wanaojiita Wa Tanganyika na wale Zanzibar Asilia, KAMA WAMESHA TAHIRIWA je nao watakubali warudishiwe mizigo yao sehemu nyeti na warudi hali ya zamani?
Naomba jibu tafadhali...!!!!
Mdau wa pili hapo juu Ahsante sana kwa maswali matatu na la nne (4.)inabidi hawa WA TANGAYIKA na ZANZIBAR ASILIA waulizwe.
ReplyDelete4.Je kisayansi uwezekano huo upo?, kuwa mtu ulishatahiriwa urudishiwe hali iliyopita?
Jibu haiwezekani!
Hahahahah,,,kwa kweli maswali hayo matatu ya Mdau wa pili hapo juu ni ya moto!
ReplyDeleteKimsingi asiyetahiriwa hujificha na asijulikane kuwa hajaonana na daktari au ngariba!
Hakuna atakae kubali hali ya zamani ya kuwa na mzigo...yaani (zob... au gov...) hao Wa zanzibar asilia wasio taka U Tanzania wenyewe humpati hata mmoja atakae kubali kurudishiwa!
ReplyDeleteKukataa hoja ya U-Tanzania (kwa wanaojiita wa Tanganyika na wale wa Zanzibar Asilia) ni sawa na mtu aliyekwisha tahiriwa akataka arudishwe nyuma ktk hali ya kutokutahiriwa!
ReplyDeleteKitu ambacho haswa kwa ndugu zetu Mamwinyi wa Zanzibar Asilia (ambao ndio wadau wakubwa wa fikra za kukataa U Tanzania) kamwe hawawezi kukubali!
Hoja kuu U-Tanzania dhidi ya U-zanzibar Asilia na U-Tanganyika,
ReplyDeleteHoja mbadala, Kutahiriwa(U-Tanzania) na kutokutahiriwa(U-Tanganyika na U-Zanzibar Asilia),
Hebu tufanye mabishano kwa vitendo, je pana Mzanzibar yeyote muungwana au M Bara alikwisha muona Daktari (kutahiriwa) atataka arudi hali ya kutokutahiriwa?
Cha msingi mtu ukishakuwa muungwana kwa kutahiriwa kamwe huwezi kutaka kurudi ktk hali ya nyuma ya kutokutahiriwa!
Zaidi ya siasa za kukataa U-Tanzania kwa wachache utagundua mtu huyo ni Mkimbizi yupo nje ya nchi,au kama yupo nchini ana malengo yake binafsi (ana njaa au anatafuta madaraka) yakitimia msimamo huo unayeyuka ghafla!
ReplyDeleteMfano kule Visiwani Zanzibar wanaokataa U-Tanzania ni wananchi wachache wenye njaa zao, huku Viongozi wao wote wa vyama vyote vya siasa CCM na CUF wanaunga mkono U-Tanzania na wanajua thamani ya Muungano!