Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Bwana michuzi ningependa kukushukuru sana kwa video hiii kwanza muziki ni mzuri namashairi ni mazuri na vyombo vimepigwa vizuri recording ni nzuri sana pamoja na makosa kidigo yaliyo fanywa kweny recording yaani ni ya kitaalamu, nimeisikia vizuri sana na pia nikamsukumia Maestro Diblo dibala kwenye face book MAJIBU NI HAYA VERY GOOD VERY GOOD I LOVE THIS SONG AMEWASIFU WAPIGAVYOMBO NA WAIMBAJI HAO VIJANA WENYE SAUTI NA PIA MARAPA PIA AMESEMAMPIGA SOLO NI MZURI SANA ILA KOSA NI HAPA NYIMBO NI NDEFU SANA, NAMI KAMA enginia wa mambo ya muziki nawapa pongezi Twanga hapa mlipofika ni mbali muongeze juuhudi ila hongera sana nawapa grade 1.
    yosef Esq

    ReplyDelete
  2. wanaharakati wa haki za wanawake na watoto mnasemaji kuhusu mambo hayo kideoni?

    ReplyDelete
  3. jamani mbona DIOFF hayupo. Bendi haijakamilika hata wengine hatuji sasa nani ataye tuchezesha. Hamna Greyson semsekwa wala Dioff asa ndo nini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...