Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Philipo Mulugo (katikati) akibonyeza Kompyuta za Lap Top wakati wa Uzinduzi wa ugavi wa Kompyuta kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria zilizotolewa na Kampuni ya Royal Mark kwa bei ya Tsh laki nne na nusu (450000) tu.wa pili kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho,Prof Tolly Mbwette na kushoto ni rais wa serikali ya wanachuo,Mlagula John.
Home
Unlabelled
Uzinduzi wa ugavi wa Kompyuta kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria wafanyika leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Huyo ni Prof Mbwette Kweli?
ReplyDeleteMbona sijaelewa ugavi wa bure au hiyo laki nne ndio bei yake...i real dont understand na hzo computer zina specs gani?Da Mungu tusaidie watanzania sisi hata kujieleza tu hatuwezi.
ReplyDeleteHizo ni laptop za "used"!!
ReplyDeleteLaptop za "used" ndio kitu gani?! Yani si kiswahili wa kiingereza wala kiswanglish...lol! Tuamke jamani...hata kutoa maoni mafupi tu tunashindwa kutulia na kufikiri tuandike nn!? Mtu aliyeweza kukaa kwenye computer na kuandikaa naamini ana upeo wa kutosha kujua anaandika nini. Ebu tubadilike...kah!
ReplyDelete