Mkurugenzi rasilimali watu wa Vodacom Tanzania Stela Chiwango akimkabidhi mbuzi mmoja wa watoto yatima wa kituo cha Friends of Don Bosco kilichopo kimara jijini Dares Salaam wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Share and Care ambayo huwa inafanyika kila mwisho wa mwaka kwa ajili ya kuwasaidia mahitaji mbalimbali watoto yatima kuelekea msimu wa sikukuu ya krismas,Vodacom imetoa jumla ya msaada wa thamani ya shilingi Milioni hamsini katika kampeni hiyo,wanaoshuhudia ni wafanyakazi wa kampuni hiyo.
Ofisa Mkuu wa Masoko na Uhusioano wa Vodacom Tanzania akiongea jambo na Mkurugenzi rasilimali watu wa Vodacom Stela Chiwango pamoja na Mkuu wa kitengo cha Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Share and Care ambayo huwa inafanyika kila mwisho wa mwaka kwa ajili ya kuwasaidia mahitaji mbalimbali watoto yatima kuelekea msimu wa sikukuu ya krismas,Vodacom imetoa jumla ya msaada wa thamani ya shilingi Milioni hamsini katika kampeni hiyo.
Mkuu wa kitengo cha kusaidia jamii cha Vodacom Tanzania”Vodacom Foundation”Yessaya Mwakifulefule akitwishwa kiroba cha Maharage na Meneja Uhusiano na Habari za Mtandao wa kampuni hiyo Matina Nkurlu kushoto na Meneja wa akaunti na usajili wa namba za simu Loius Maro,wakati wa kupakua mizigo hiyo tayari kwa kuwagawia msaada vituo mbalimbali vya watoto yatima jijini Dares salaam kwenye uzinduzi wa kampeni ya Share and Care ambayo huwa inafanyika kila mwisho wa mwaka kwa ajili ya kuwasaidia mahitaji mbalimbali watoto yatima kuelekea msimu wa sikukuu ya krismas,Vodacom imetoa jumla ya msaada wa thamani ya shilingi Milioni hamsini katika kampeni hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwahudumia chakula baadhi ya watoto yatima wa vituo mbalimbalivya jijini Dares Salaam wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Share and Care ambayo huwa inafanyika kila mwisho wa mwaka kwa ajili ya kuwasaidia mahitaji mbalimbali watoto yatima kuelekea msimu wa sikukuu ya krismas,Vodacom imetoa jumla ya msaada wa thamani ya shilingi Milioni hamsini katika kampeni hiyo.
Mtoto yatima wa kituo cha T.H.M.H cha Magomeni jijini Dare Salaam Rebeca Elias akiwa ameshikilia mbuzi mara baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi rasilimali watu wa Vodacom Tanzania Stela Chiwango aliemshika begani na Ofisa Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa kampuni hiyo Mwamvita Makamba watatu toka kulia wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Share and Care ambayo huwa inafanyika kila mwisho wa mwaka kwa ajili ya kuwasaidia mahitaji mbalimbali watoto yatima kuelekea msimu wa sikukuu ya krismas,Vodacom imetoa jumla ya msaada wa thamani ya shilingi Milioni hamsini katika kampeni hiyo,wanaoshuhudia ni wafanyakazi wa kampuni hiyo kitengo cha huduma kwa wateja.
Watoto yatima wa kituo cha Friends of Don Bosco kilichopo kimara wakibeba msaada wa vitu mbalimbali vilivyotolewa na wafanyakazi wea Vodacom Tanzania wakati wa wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Share and Care ambayo huwa inafanyika kila mwisho wa mwaka kwa ajili ya kuwasaidia mahitaji mbalimbali watoto yatima kuelekea msimu wa sikukuu ya krismas,Vodacom imetoa jumla ya msaada wa thamani ya shilingi Milioni hamsini katika kampeni hiyo,wanaoshuhudia ni wafanyakazi wa kampuni hiyo kitengo cha huduma kwa wateja.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja tayari kuelekea katika vituo mbalimbali vya watoto yatima vya jijini Dares Salaam mara baada ya uzinduzi rasmi wa kampeni ya Share and Care hapo jana ambayo huwa inafanyika kila mwisho wa mwaka kwa ajili ya kuwasaidia mahitaji mbalimbali watoto yatima kuelekea msimu wa sikukuu ya krismas,Vodacom imetoa jumla ya msaada wa thamani ya shilingi Milioni hamsini katika kampeni hiyo.
Hongera sana vodacom, ila angalieni na watoto ambao wako nje ya mkoa wa daa.JUzi tumesoma watoto yatima kule Mbeya hawana vitanda vya kulalia, nguo hata chakula. Mazingira yao yalikuwa chakavu sana.
ReplyDeletetumbuzi tumekondeana huto! hahahaaaaaaaaa
ReplyDeleteAsante kwa taarifa mdau.Kwa tarifa tu Vodacom foundation itafanya kampeni kama hiyo ya Dar kwa watoto yatima waishio Kilimanjaro na Arusha tarehe 10 Dec na taraehe 17 Dec tutakua Mbeya kwa kazi kama hiyo.Tarehe 25 Dec tutakua kanda ya ziwa.
ReplyDeleteIsiwe Dar tu, na maeneo mengine pia wanahitaji msaada. Wengine wanakirihika wanaposikia kila kitu ni Dar tu, wakati wanaochangia katika mitandao (wenye simu) tupo na mikoani pia.
ReplyDeleteMaoni tu lakini.