Baadhi ya wazazi waliojifungua wakati wa mkesha wa Krismasi wakiwa na watoto wao leo katika hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa muuguzi wa zamu katika hospitali hiyo, Erika Massawe watoto 16 walizaliwa hospitalini hapo wakiwemo wakiume kumi na sita wa kike.Picha na Francis Dande
Home
Unlabelled
watoto 16 wazaliwa siku ya mkesha wa xmas kwenye hospitali ya mwananyamala jijini dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Hao wawili kama baba zao wapemba vile!
ReplyDeleteKwani mpemba si ntu???
ReplyDeletehongereni sana wamama kwa kupata zawadi ya watoto siku ya christmas!
ReplyDeletethis is a great blessing natamani.
ReplyDeletekilichokufanya useme baba zao ni wapemba nini?tafadhali jibu kabla sijakasirika
ReplyDeleteI hope hawajaibiwa wengine maana Mwananyamala wezi wa vichanga
ReplyDeleteMi naona wote baba zao watakuwa wachina kwa sababu naona kama vile watoto ni weupe sana..au labda tusime kuwa tunazaliwa wazungu lakini tunabadilika ngozi kwa sababu ya jua la africa au?
ReplyDeleteMdau wa kwanza na wa pili hapo juu,,,,Mpemba anaogopwa kwa vile wao ndio wenye Maduka mengi hivyo inakuwa utata sana wakati wakopaji wakipita madukani hasa (wengi wao akina dada),,,,wanaweza saidia watu kuchangia mbegu ktk uzazi, inakuwa ndio nafasi ya Dhahabu kwao!
ReplyDeletekuazliwa kwa watoto ukifatilia kwa karibu utagundua kuwa kila dakika ni watoto wasiopungua elfu 20 wanazaliwa duniani na kwa kila saa wanazaliwa na kwa kila siku wanazaliwa no matter siku ya eid wala mwaka mpya wa xmas
ReplyDeletena huyo aliesema watoto kama ni wapemba inaonekana kaumiziwa mkewe na mpemba ndio maana kitu cha kwanza kakumbuka wapemba maana itakuwa mpemba anamlipia kodi ya nyumba na huku ana kula bata na mkewe....hehhehehe raha sana
mwaume kaza buti usikubali kuhudumiwa na kidume wa ukweli utakuja kugeuzwa simba wa malindi upakatwe na upewe chai
au sio ankali? au nakosea?
Wamepata watoto lkn sura hazina furaha kabisa wanawaza jinsi ya kuwakuza na hali ngumu ya maisha mbele yao maana hawajui hata wakaanzie wapi....Mungu tuhurumie watanzania!!!
ReplyDeleteJamani wamechoka bado hawajapata nguvu, kuzaa si kama kwenda chooni.
ReplyDeleteHongereni sana dada zangu, Mungu awajalie wakue vema.
Hawa akina mama wamechoka sana. mbona wamewapiga picha mabega wazi jamani? Yule wa kati kama anataka kulia vile!
ReplyDeleteHongeara na poleni sana jamamni.. kuzaa shughuli kweli kweli. Ukiona mtoto hamtii mzazi wake hiyo ni laana tosha
jamani sio kwamba hawana furaha, kujifungua jamani sio lele mama,uliza wazazi watakwambia. Ng'ombe mwenyewe na mwili ule lakini akimaliza kuzaa lazima akae chini,sembuse mwanadamu. Tuwaheshimu tu mama zetu jamani.
ReplyDeleteHongereni sana!
Uzazi si lelemama, acheni masihara jamani!
ReplyDeletejamani watoto wapya jaani waliyozaliwa wanakuwa weupe baadae wanapata rangi zao kamili. Tumboni jua haliwaki na ngozi haipati vitamini kutoka mwanga wa jua.
ReplyDeleteMie ni mwanamke na nimezaa vilevile kweli kuzaa si lelemama lakini tuseme ukweli hawa wazazi wenzetu hawana nyuso za furaha kabisa wanawaza ulezi utakavyo kuwa na pengine wengine toka ujauzito wanaume washa wakimbia au hawawajali. Kama maiti tu inaweza kuonyesha uso wa tabasamu kama mtu akifa vizuri basi hata kuzaa na kuchoka kwake bado nuru ya furaha itaonekana usoni. Uzazi sasa hivi si mchezo hasa ukianza fikiria ada za shule na watoto wa siku hizi miaka mitatu kesha jua shule na anaililia we acha tu haya na iyo elimu ya juu mikopo watoto wetu hawapati wanapewa watoto wa wakubwa au wenye majina du - kazi si kidogo.
ReplyDelete