Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe amekutana na Mabalozi Wateule walioapishwa wiki hii kushika vituo mbalimbali vya uwakilishi nje ya nchi kwenye Chuo Cha Diplomasia ambapo wanahudhuria kozi ya utambulisho kabla ya kuanza kazi rasmi.Pamoja nao ni Mabalozi Wastaafu, Wakufunzi na baadhi ya viongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Ahhaa!,,,,Makubwa, kwa wanaoelewa mambo haya, hivi uwekaji wa mkao nne kwa Waheshimiwa waliokaa Wanaume mstari wa mbele ni ktk taratibu za itifaki? au ni staili ya Picha?

    ReplyDelete
  2. Na mimi nilikuwa na swali hilo hilo. Nikafikiri labda imetokea coincidence. Labda ndio itifaki zenyewe ebu hawa wenye kujua haya mambo watujuze kama ndivyo mabalozi wanavyotakiwa kupozi!!

    ReplyDelete
  3. Hayo ndio mambo ya itifaki kwa kuwa bosi mkubwa amekunja nne (Mhe. Membe) basi hakuna budi kwa wa chini wake wakunje nne kama inavyoonekana.

    ReplyDelete
  4. Duhh Mdau wa tatu juu ahsante kwa ufafanuzi maana mambo haya wengi hatujui,,,kwa mawazo ya sisi wengi tunafikiri kama ukimfuatisha mkubwa anachofanya utakuwa umekaidi!

    Mfano mkubwa akivuta sigara ,na wewe wa chini ukivuta utakuwa umekosa abadu, mkubwa akinywa pombe na wewe ukinywa utakuwa pia umekosa adabu! au sio?

    ReplyDelete
  5. Hawa mabalozi wapya naona wengi mno ni kutoka tanganyika hivi hii wizara si ya muungano? au hakuna wenye sifa za ubalozi zanzibar? Wakati umefika wa mchakato wa katiba mpya mzizi wa fitina utaisha ikibidi basi bora tuwe na federation of East Africa. Tumia wakati kuboresha maisha ya kizazi kijacho na kuua ukoloni mambo leo. Hakiiiii

    ReplyDelete
  6. Wewe Mdau wa Kisiwani wa tanio Anonymous wa Sat Dec 24,07:26:00 PM 2011

    Ukiona wengi ni kutoka hiyo unayoiita Tanganyika ujue nafasi iliyowekwa kwa wa Zanzibar imeshajaa.

    Hilo wanalijua viongozi wenu wa juu ktk serikali na sio wewe.

    Hebu fikiria mgawanyiko wa Ki Jiografia, Uwakilishi, Utawala na vigezo vingine pia kama hapa chini.

    1.IDADI YA WATU (JIOGRAFIA)
    Hiyo unayoiita Tanganyika ndio ina watu zaidi ya Zanibar.

    2.ENEO LA NCHI (JIOGRAFIA)
    Hiyo unayoiita Tanganyika ndio ina eneo kubwa zaidi ya Zanzibar.

    3.UWAKILISHI
    Hiyo unayoiita Tanganyika ndio ina idadi kubwa ya Wawakilishi ktk Bunge la Jamhuri ambalo hata ninyi Zanzibar mpo

    4.UTAWALA( MAENEO YA USIMAMIZI KI POLISI NA MAJESHI)
    Hiyo unayoiita Tanganyika ndio ina eneo kubwa la Mamlaka ya Utawala ktk nchi Zaidi ya Zanzibar.

    SASA KWA VIGEZO HIVYO VINNE ITAWEZEKANA NINYI ZANZIBAR NA TANGANYIKA TUWE NA MIGAWO YA IDADI SAWA?

    MFANO MKATE MMOJA KUGAWA NYUMBA MBILI (NYUMBA -A INA WATU 2 NA NYUMBA-B INA WATU 8) JE NI SAWA MKATE MMOJA UKAUGAWA NUSU KWA NUSU?

    HATA HIVYO NINYI ZANZIBAR NI MZIGO SANA KWETU TANZANIA BARA!

    WAZANZIBAR MNA AKILI KWELI?...KAMA TUNGEKUWA TAWALA ZINGINE DHALIMU INGEFAA TUKATUMA MAJESHI TUKAIGEUZA ZANZIBAR KUWA MKOA TU WA KAWAIDA!

    ReplyDelete
  7. Mdau wa 6 umemwelimisha vizuri sana huyo Mpemba Mdau wa 5 aliemalizia kwa Hakiiiii!.

    Kwa maelezo hayo juu aliyotoa Mdau wa 6 ninyi Wapemba mnaodai mtakuwa mmefanya kwa wengine hiyo Hakiiii mnayodai?

    Kama unataka Haki inabidi wewe utoe Haki kwanza!

    Sio utegemee kuwabana wengine upendelewe wewe tu!

    Yeye hana elimu kufahamu masuala haya kama akishindwa achukue nyavu akavue samaki!

    ReplyDelete
  8. Wapemba viongozi wenu wa Kitaifa ni Waelewa sana akiwepo Maalim Seif!

    Sasa ninyi mgongo wazi ndara mkononi maisha yakiwashinda ,kama hamuwezi Uvuvi ,mnaweza suka mikeka, vikapu ama kofia za kuswalia!

    Kazi ni kazi bora iwe ya halali na mkono wende kinywani, msifikiri kila mmoja atakuwa kiongozi!

    ReplyDelete
  9. Wapemba acheni ujinga na uchochezi!!!.

    Tumieni akili zaidi na busara!

    Kwanza mpaka sasa kwa mtaji wenu wa malalamiko na kwa kuwa Kinywa Wazi mmeshapendelewa sana tu.

    Kwa migawo mbali mbali zaidi ya Uongozi ,Siasa na huu uteuzi wa Ubalozi mnaolalamikia sasa.

    Hivyo visiwa vyenu kama Mamlaka itapanga mambo kwa kuzingatia ukubwa wa eneo na idadi ya watu basi Zanzibar itakuwa kama Wilaya tu! na Pemba itakuwa Tarafa au Kata!

    Mkumbuke kuwa Tanzania ina jumla ya watu millioni 45 wengi wakiwa Tanzania Bara huko visiwani hamzidi millioni 5 hivi.

    Sasa msitegemee kwa hesabu hiyo hapo juu kila Mpemba atapata kazi ya Serikalini!...sasa ninyi pekee ndio watu na wengine huku Bara wamekuwa mawe?

    Hiyo Hakiiiii mnayodai ni haki ya upendeleo tu na si kinginecho!

    Acheni ujinga, kwanza kwa Muungano mmepata nafasi ya kwenda hadi Shinyanga mkafanya biashara zenu mustarehe, zaidi ya hapo tengenezeni Makwama ya magurudumu mawili mwende ufukwe wa Coco Beach mkauze urojo nayo pia tu ni kazi!

    ReplyDelete
  10. Nyie Wapemba watatu, na wenzenu Wachagga watatu wa Chadema.

    Makundi yenu mawili kila moja linalalamika halitendewi haki linataka eti lipewe Mamlaka ya kuendesha Serikali, khaaa!

    Ninyi Wachagga wa 3 mna uwezo wa kuendesha Bar tena kwa mikopo ya SACCOS na Ninyi Wapemba wa 3 nanyi mna uwezo wa kuendesha Migahawa ya Chai tena kwa uwezo wa Ramli na Falaki mtaiweza SERIKALI????,,,,EBO!

    ReplyDelete
  11. Mdau wa tisa hapo juu Anonymous wa Tue Dec 27, 09:55:00 AM 2011

    Hawa jamaa huko Visiwani hio Milioni 5 idadi ni kubwa saaana, hao jamaa hawazidi LAKI NANE tu halafu wanataka tugawane idadi sawa ktk uteuzi wa Mabalozi!

    ReplyDelete
  12. Hawa walilazimishwa kukunja nne huyu wa kwanza kushoto alikuwa na wakati mgumu nne imemshinda kabisa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...